ROMA:NITAKUJA NA NYIMBO MPYA HIITWAYO VITA YA TATU YA DUNIA KWA AJIRI YA YULE ALIETAKA KUNICHAFULIA JINA RANGU

Roma asema ajawai kuwasema vibaya watangazaji wa redio yoyote ile vibaya atasikumoja na anashagaa pale yanapovuma maneno kwamba katika show yake alio ifanya juzi kati hapa kwenye mkoa wa tanga ambapo ni kwao aliwasema  na kuwatukana watangazaji wa clouds fm wakipindi cha xxl,aya ndo maneno ya roma

"Mimi ata sielewi ivi vitu vimetokea wapi na nani amevisambaza kiasi hichi na kunialibia jina langu kwa kivupi sijawai kupanda kukwahani na kuanza kuwaongea watu au watangazaji,nikweli nilikuwa tanga na nilikuwa na show ambayo tulikuwa na wana wa kigoma pamoja na fa ila sijui aya mambo yametokea wapi ukizingatia sikupiga show ya dakika nyingi ilikuwa ni show ya dakika ishirini na nane kama sikosehi na niliimba nyimbo zangu zilezile za kila siku ukiongeza na nyimbo yangu ya 2030 basi ni izo tu asa embu niambie huo muda wa mimi kukuaa bale jukwaani nakuacha kuwapa mashabiki zangu na watu wangu wanyumbani mziki mzuri nanianze kuwaongea watangazaji tena wa cloudz ambao kipindi nataka kutoka wao ndo niliwafata na kazi yangu ehe jamani sio poa izi

Huyu mtu amekikosea sana na kunichafulia jina langu na ametangaza vita na hii nitahiita vita ya tatu ya dunia na nitamtolea na nyimbo kabisa sito muacha mtu kama uyu ila sio kama nitapanda majukwahani na kumtangaza sitopoteza muda wangu wa kuwa furahisha watu wangu wanguvu
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment