
Baada
ya kufanyika kwa harusi hii ya kimila jana march 8 2013, staa huyu
anatarajia kufanya harusi nyingine Dubai siku kadhaa
zijazo
Hii
ni siku kadhaa zilizopita ambapo wapenzi hawa walikua wanapiga picha
zitakazokua zinaonekana kwenye screen siku ya harusi yao Dubai.
