NIKKI WA PILI:TOENI MAANA YA BONGO FLEVA INAYO ELEWEKA


Msanii na msemaji wa kundi la wana hip hop  (Weusi) kutoka Arusha, Nikki wa II, ameonekana kuto kuridhika na maelezo ya wengine juu ya maana halisi ya neno bongo fleva..
Bongo fleva imekua ikifafanuliwa kama ni ladha inayotoka bongo, hivyo haitofautishi kati ya hip hop na R&B  wala aina nyingine ya mziki unaofanywa Tanzania, lakini baadhi ya rappers na wana hip hop kwa ujumla nchini wamekuwa wakilipinga sana hilo hata kuthubutu kuwaita wale  wanaoimba ni wabana pua ambao ndio wanaitwa bongo fleva kwa sasa.
siku ya tarehe 16 march, Nikki wa II aliandika maoni yake juu ya hilo kwa kuuliza maswali pia na kutoa hoja yake kupitia katika ukurasa wake wa facebook
kwa wale ambao mtakua hamna ufahamu sana juu ya swala hili tata la bongo fleva na hip hop tafadhili ingia hapa  http://www.bongocelebrity.com/2008/07/22/neno-au-jina-bongo-flavachanzo-chake-nini-au-nani/  usome kilichokuwa kimeandikwa na mmoja Miongoni mwa mashuhuda wa mwanzo wa harakati za mwanzo kabisa za muziki wa bongo flava ni aliyewahi kuwa DJ maarufu nchini Tanzania kwa jina Mike Pesambili Mhagama(
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment