
Bado
sijapata info za ndani kuhusu hii kolabo ila huu ni uthibitisho kwa
sasa, picha zote hizi ni wakati wako studio kwa Master J ambapo mikono
ya Marco Chali ndio imehusika kuisuka kolabo.

J Martins ni mmoja wa mastaa wa muziki wenye idadi kubwa ya mashabiki Afrika akiwa ni raia wa Nigeria.
0 comments:
Post a Comment