Kwangu mimi binafsi, muziki ni muziki. Of course ninazo aina za
muziki zinazonivutia kushinda zingine. Na pia zipo aina za muziki ambazo
sivutiwi nazo kabisa…punk rock kwa mfano. Lakini mwisho wa siku
naheshimu kila kazi ya ubunifu na ndio maana nasikiliza kila aina ya
muziki. Ukifanikiwa kushika iPod yangu utakuta nina kila aina ya
muziki.Charanga,Country,Rock,Pop…you name it.
Hata hivyo, linapokuja suala la muziki wa kizazi kipya nchini
Tanzania, nina chaguo langu pia…well…tulia..napenda kila aina ya muziki
toka Bongo. Wewe Je?…Kuna Hip Hop na kuna Bongo Fleva. Diamond anaimba
Bongo Fleva na Ney Wa Mitego anaondoka na Bongo Hip Hop.
SONG: MUZIKI GANIARTIST: NEY WAMITEGO FEAT DIAMONDPRODUCER: MR TOUCHCHORUSHivi nyi ma mc mnachoimba kitu gani, mara bangi mara matusi sa ndo muziki gani (diamond).
Hii no hip-hop h.o.p muasisi wa burudani, tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane Pua nyumbani (ney) X2DIAMONDHata bibi yangu mi aliniambia , mwanamke anahitaji kubembelezwaKupetipeti matunzo pia, ukienda rafu utampoteza,Muziki ni mfano wa binti muzuri,Na ndio maana namtunza kwa vazi na uturiNEY WA MITEGOAaah piga kimya, we ndo haufai kabisa hauna maanaWabana pua kila siku mnarogana, bibi yako alikuambia muziki ni kama bintiMbona unawachezea unawatema kama big gMara wema, mara Jo keti, mara Naj, mara Penny, je mnafanya mziki mpate mabintiDIAMONDUuuhhuuuu, hata wazee wazamani, walishasemaga kazi na dawaChamuhimu jukwaani, ni kuhakikisha wanapagawa,Kwa michezo ya kuringa ringa ndo huwa wanadataBadilika usiwe mjinga, utawakamataCHORUSHivi nyi ma mc mnachoimba kitu gani, mara bangi mara matusi sa ndo muziki gani (diamond).
Hii no hip-hop h.o.p muasisi wa burudani, tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane Pua nyumbani (ney) X2NEY WA MITEGOMuziki wenu ushirikina ndio umetawala, q chilla analalama anasema umemrogaMganga wako aliekutoa umemkimbia hujalipa, bila skendo za magazeti basi huskikiDIAMONDMi ni mti wenye matunda, milele siogopi kupigwa maweUbaya wenu wengi kayumba, elimu mliitupa sandakalaweNEY WA MITEGOBado hujanishawishi, bongo fleva inanipa kichefu chefuKwanza nyie malimbukeni wa umaarufuMnalenta maringo mpaka kwa mashabiki , Wabana pua nyie watoto sio riziki,Mnavaa nguo za dada zenu, zinawabana mapaja nyie makaka duuAah nyie watoto mchele mchele , kwenye show viuno mbele mbele X2Nimewanyamazisha, brazameni vipi we bado unabishaDIAMONDMi nnamengi nnayajua, ila we ni mtemi utaanzisha utataMichezo yenu kutoboa pua, bora ninyamaze usinipige mbata
0 comments:
Post a Comment