
Hakuna
tatizo kama ukibadilika katika fashion kila baada ya muda fulani,
Beyonce hivi karibuni alipost picha zake mpya kwenye instagram, akiwa
katika muonekano wake mpya aliokuwa akiujaribu. Mkali huyo Hov’s wife
Beyonce alipiga kivulana vulana (Tomboy) akivalia skin tight pants,
sneakers na kofia ambayo imeandikwa “Beyond” .
Inaonekana
labda King Beyonce alitaka kuhisi yuko karibu na bwana wake Jay – z na
hilo ni chaguo lake. Beyonce aliweka wazi muonekano huo na picha
nyingine ikiwa imezungukwa na moshi. Inaonekana kama hakuna muonekano
mwingine ambao Beyonce anaweza kujaribu aonekane fresh. Una mawazo gani
kuhusu new swag ya Beyonce?
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment