
Toka ilipotoka
mixtape mwaka jana ya Meek Mill mixtape kali ya “Dreamchaser2” mashabiki
wake wamekuwa na kiu sana na mixtape yake inayofuata ya “Dreamchaser3”.
Mixtape hiyo I nayokuja yam kali Meek Mill kutoka Maybach Music Group
wasanii ambao watasikika ni Future, Waka Flocka Flame, Jadakiss na
wengine. Kwenye cover art anaonekana The Boss Rick Ross, Dj Drama Meek
Mill mwenyewe akiwa katikati…Tunaisubiri kwa hamu mixtape ya Meek Mill
“Dreamchaser3” #TWENZETU

0 comments:
Post a Comment