Jinsi ninavyosumbuliwa na ndoto mbaya za kufanya mapenzi na watu tofauti tofauti, na niliongea na watu ambao walinishauri kufanyiwa dua na Maalim ambae ni dehebu la Islam

Habari za kazi?
Katika kipindi cha Diary ya Lady JayDee cha
Jumapili ya tar 3/3/2013
Niliongelea jinsi ninavyosumbuliwa na ndoto mbaya za kufanya mapenzi na watu tofauti tofauti.
Na niliongea na watu ambao walinishauri kufanyiwa dua na Maalim ambae ni dehebu la Islam
Lakini nmepokea msg toka kwa watu mbali mbali, wengine kudhani sio sawa mimi kufanya hivyo sababu mimi ni CHRISTIAN
Ila nilikuwa nafikiria, MUNGU ni mmoja na sala yoyote inaweza ikapokelewa
Au ni lazima uwe dini flani kuombewa na mtu mwenye dini kama yako??
Ni mtazamo tu.
Na kuna maoni mengine ni ya kisayansi
Tupia maoni yako unafikiriaje kuhusu hili swala???
Na kuna maoni mengine ni ya kisayansi
Tupia maoni yako unafikiriaje kuhusu hili swala???

Na hizi ni baadhi ya msg nilizopokea toka kwa watu mbali mbali
0 comments:
Post a Comment