. mwanamuziki wa bongo freva.dayna ni mwanamke wa
kitanzania. anaungana na wanawake wengine duniani kote katika kuhadhimisha cku
ya wanawake duniani. " Nawashauri wanawake wenzangu juu ya kuji2ma
kufanya kaz ili kujipatia maendeleo bila kutegemea wanaume. Naamini
wenyewe 2naweza tena bila ata ya kuwezeshwa. Nakupitia siku hii muhmu
kwetu. naiomba serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhakikisha
inapambana vilivyo juu ya unyanyasaji wa kijinsia tunaoupata wanawake.
hasa ubakaji, ukeketaji na mauaji yanayoendelea zidi yetu, tunaiomba
serikali ihakikishe kwamba wahusika wa matukio kama hayo wanachukuliwa
hatua za haraka ili kukomesha maovu hayo. pia nijukumu la kila mwanamke
na Niwajibu wetu kina mama pia na jamii kwa jumla kupambana na majanga
haya. tushikamane kujiletea. Tupendandane tushikamane WANAWAKE
TUNAWEZA. by dayna nyange.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment