Kwa
siku chache zilizopita kulikuwa kuna uvumi kwamba mkali Ice T alienda
mahakamani akitaka kumpa talaka mke wake Coco hii ilifuatia kutokana
tena na uvumi kwamba Coco alitembea na rapper AP.9. “Usiamini kila kitu
unachosikia” alisema mwakilishi wa Ice T akiiambia E! “Coco na Ice T
wako fresh, yale magazeti nimaongo . Alisema mwakilishi wake.
0 comments:
Post a Comment