
Weezy
F Baby ameonyesha album cover yake inayokuja ya “I am not human being
II” na ngoma zinazopatikana kwenye album hiyo. Baada ya kutoa kudos kwa
walioanda ngoma hizi mwezi Octoba, sasa basi wakali watakaokuwepo kwenye
album ya Lil Wayne ni mkali 2 Chainz, Big Sean, Drake na Nicki Minaj.
“I am not human being II” inaingia sokoni Machi 26.
0 comments:
Post a Comment