
Wiki nyingine,
maoni mengine kutoka kwa 50 cent kuhusu uwezekano mkubwa wa G.Unit
kurudi na kuanza kupiga kazi pamoja. Mwezi mmoja uliopita Fifi aliona
uwezekano mkubwa wa kurudiana na Tony Yayo na Lloyd Banks, tena
amesikika akisisitiza kuunda kundi hilo baada ya stories kibao kitaani
kwamba G.Unit haiwezi kurudi. 50 cent pia aliongelea album yake mpya ya
“Street King Immortal” na kufunguka kwamba wanaandaa tour , Fifi ameacha
project zake za movies alizokuwa akifanya ameamua afanye muziki kwa
nguvu zote ni kama amebonyeza button ya kuanza. Kwa sasa Fif ameachia
ngoma yake inayofanya fresh sana inayoitwa major distribution inayofanya
fresh sana akiwa amemshirikisha Snoop Lion na Young Jeezy...
0 comments:
Post a Comment