Mtoto wa Bob Marley, Ziggy
amezungumzia hatua ya Snoop Dogg ama Snoop Lion kama anavyojulikana sasa
kujibadilisha imani na misingi yake kuingia katika U-Rastafarih ambapo
mkali huyu amesema kuwa, sio kitu kibaya na muda peke yake ndio utaweka
mambo bayana kuwa Snoop ni kweli amedhamiria maamuzi yake ama kitendo
chake ni mbinu tu y
a kumpatia 'mulla' zaidi.
Snoop Lion tayari ameshakumbana na
misukosuko kadhaa tangu alipotangaza nia yake hii, ikiwepo kuzushiwa
kuangushiwa kichapo na Ma-rasta huko Jamaica, ambapo mwanamuziki mkongwe
katika imani ya Urasta, Buny Wailer pamoja na wengineo tayari
wameshajitokeza hadharani kumpinga na kumkosoa.
0 comments:
Post a Comment