wema sepetu bana tumefanya maojiano nae tuka muhuriza ilikua vipi aka tuma hii picha kwenye mitandao ya kija mihii akasema"kipindikile nilikua bado mtoto so nilikua nafanya mambo bila kufikilia mbele ila kwa sasa najuta kwanini ilikua vile nawaomba radhi mashabiki wangu wote walio chukizwa na picha ile am so sorry"alisema wema.Atukuishia hapo tukazidi kumuhuliza maswali kuhusu mpenzi wake wa zamani the daimondi platnum akasema maneno aya"Mimi na nasibu kwasasa ni marafiki tu akuna chengine na nina mtkia maisha mazuri na yenye baraka yake na mpenzi wake penny japokuwa sijakutana na nasibu mda mrefu sasa
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment