Vijana wakionyesha kaburi ambalo mzoga huo wa ng'ombe ulizikwa likiwa na mabaki ya nyama
Haya ni mabaki ya mzoga huu baada ya kuzikwa tena leo
TABIA ya baadhi ya wakazi wa mkoa wa Iringa kupenda nyama nyama bila
kuangalia ni wapi wanakula ama kununua nyama hiyo ,imewatokea puani
wakazi wa Ikonongo kata ya Mkwawa katika Manispaa ya Iringa baada ya
kuuziwa nyama ya mzoga wa ng'ombe aliyekufa kwa sumu toka usiku wa jana.
Wananchi hao wamejikuta katika majuto baada ya kujisikia dalilia za
matumbo kuuna baada ya kufakamia nyama hiyo ya mzoga kwa zaidi ya siku
mbili sasa.
0 comments:
Post a Comment