
Tunatoa ofa kwa matangazo yote ya kidini (mikutano, uzinduzi wa nyimbo za Injiri na mambo yote yanayohusu dini). Pia tunatoa ofa ya kupokea matangazo ya mashirika yote yasiyofanya kwa faida (Non Profit Organizations) yanayohusika na watoto yatima, waathirika na mengineyo.
Matangazo kwa vyombo vya habari (Press Release & Press Conference) tunayapokea bure bila gharama yoyote.(Public Government Announcement Is Free)
Pia tunatoa ofa ya kupokea matangazo kutoka kwa watu binafsi kwa kiasi kidogo tu, ili kuchangia uendeshaji wa blog hii.
Matangazo yote yaliyo katika mfumo wa text only (maandishi pekee) yani yatakayo postiwa kama habari, tutakupa ofa ya kuyapost bure bila gharama yoyote.
BIRTHDAY PART - Tunapokea picha zenu na jumbe mbali mbali kuwatakia wapendwa wenu happy birthday bure bila gharama yoyote ile - we tuma tu tutapost.
NOTE: Matangazo ya biashara yoyote yatatozwa kiasi kidogo ili kuchangia uendeshaji wa site hii inayolenga kukuhabarisha zaidi kwa kila kinachoendelea nchini na duniani kote.
Tutumie matangazo yote na post zako zote kwa kutumia barua pepesundaysucci@gmail.com kwa wale wa matangazo ya kulipia, pia wasiliana nasi kwanza.kwa mawasiliano zaidi piga0719126854
succi1
Mungu Awabariki Nyote.
0 comments:
Post a Comment