
Msanii Ben Pol pichani amesema kuwa amechukua uamuzi wa kuanza kutoza
kiasi cha pesa kwa wasanii watakaotaka kufanya kazi na yeye kutokana na
idadi kubwa ya wasanii ambao wanataka kufanya nao kazi.Ben Pol alisema
hivi sasa ni rasmi kuwa kwa yeyote yule ambaye atataka kumshirikisha
kwenye 'Chorus' na tayari amesharekodi 'Verse' atatakiwa amlipe laki
5.Kama msanii anakuwa hana wazo kabsaa na anataka yeye ndo amtengeneze
wazo itabidi amlipe shilingi laki 8.
Ben Pol alisema mpaka sasa anapokea simu mpka zaidi ya 10 wasanii
wakitaka kufanya kazi nae.Kwahiyo dizaini Ben Pol atakuwa hakosi kitu
cha Milioni 5 flani hivi kwa ishu hii.
0 comments:
Post a Comment