HUYU NDIO MWIMBAJI MKENYA AMBAE MAMA YAKE NI MTANZANIA, KAVUNJA REKODI KUSHIRIKI AMERICAN IDOL, TAZAMA NICKI MINAJ NA MARIA CAREY WAKIMUONGELEA

Anaitwa Sanni M’mairura.
Sio kazi rahisi kuingia kwenye moja ya mashindano MAKUBWA DUNIANI ya AMERICAN IDOL, sio kazi ndogo hata kidogo, SANNI M’MAIRURA ndio Mtanzania wa kwanza mimi kusikia kaingia kwenye haya mashindano ambayo majaji wake wa sasa hivi ni pamoja na mastaa wa muziki duniani Maria Carey na rapper Nicki Minaj, tazama hiyo video hapo chini

hii stori naitabiria kushika namba kubwa kwenye AMPLIFAYA leo, endelea kuwa karibu na Millard Ayo kwa kujiunga kwenye facebook.com/millardayo twitter.com/millardayo na instagram.com/millardayo
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment