
Sebastian Taylor Thomaz (yes, ikiwa na a z mwisho) amezaliwa siku ya jana alhamis mchana
Mapema siku hiyo ya jana a proud papa Wiz Khalifa alipost picha akiwa amevaa posted a picture wearing scrubs na face mask na maelezo yaliyokuwa yakisema "daddy time." wakati wa baba
mida ya saa nane mchana akipost, "Happy Birthday Sebastian "The Bash" Taylor Thomaz!!! Everyone welcome this perfect young man into the world"
mara ya mwisho wawili hao. Amber na Wiz, walionekana katika tuzo za grammy,
0 comments:
Post a Comment