VODACOM GROWN AND SEXY PARTY YABAMBA VILIVYO NDANI YA UKUMBI WA MLIMANI CITY USIKU WA KUAMKIA LEO
Mkuu
wa Kitengo Cha Mawasiliano na Udhamini Kutoka kampuni ya Simu za
Mikononi ya Vodacom Mh Kelvin Twisa akiwa katika dhuria jekundu Wakati
wa Sherehe ya kuaga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013 ijulikanayo
kama Vodacom Grown and Sexy Party iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani
City Usiku wa Kuamkia leo
Baadhi
ya Wahudhuriaji wa Party ya Vodacom Grown and Sexy Party Wakiwa kwenye
Dhuria jekundu la Vodacom Grown and Sexy Party iliyofanyika Usiku wa
Mwaka Mpya Ndani ya Ukumbi wa Mlimani City
Mmoja
wa Wahudhuriaji wa Sherehe ya Vodacom Grown and Sexy Party akifanyiwa
mahojiano juu ya Sherehe hiyo Kubwa ya Kuaga Mwaka na Kukaribisha Mwaka
2013 ijulikanayo kama Vodacom Grown and Sexy Party iliyofanyika Usiku wa
leo Katika Ukumbi wa Mlimani City
Wadau wa lukaza blog wakijipatia Ukodaki mbele ya Kamera ya Lukaza Blog
Warembo wakipata ukodaki mbele ya kamera
yetu Wakati wa Sherehe ya kuaga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013
ijulikanayo kama Vodacom Grown and Sexy Party iliyofanyika kwenye Ukumbi
wa Mlimani City usiku wa kuamkia leo
Warembo
wakiwa ndani ya Ukumbi wa Mlimani city huku wakipata vinywaji baridi
wakati walipohudhuria Sherehe ya Kuaga mwaka 2012 na kuukaribisha Mwaka
2013 ijulikanayo Kama Vodacom Grown and Sexy Party iliyofanyika katika
ukumbi wa Mlimani City Usiku wa Kuamkia leo
Hii
ndio Panel ya Ma Dj waliowarusha vilivyo wahudhuriaji wa Sherehe
ijulikanayo kama Vodacom Grown and Sexy Party iliyofanyika Usiku wa
Kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City
ilipotimia
Saa Sita na Dakika Moja Usiku wa leo Ukumbi wulifanana hivyi ikiwa ni
shamra shamra ya kuuaga mwaka 2012 na kuupokea mwaka mpya wa 2013 katika
sherehe ijulikanayo kama Vodacom Grown and Sexy Party iliyofanyika
Ukumbi wa Mlimani City usiku wa kuamkia leo
Baadhi ya wadau waliohudhuria
wakibadilishana mawazo huku wakijipatia vinywaji vyao wakati wa sherehe
ijulikanayo kama Vodacom Grown and Sexy party iliyofanyika Usiku wa
kuamkia leo katika ukumbi wa Mlimani City
Wadau
wakiserebuka Wakati wa Sherehe ya Kuaga mwaka 2012 na kuukaribisha
mwaka 2013 katika shehere ijulikanayo kama Vodacom Grown and Sexy Party
iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Usiku wa Kuamkia leo
Baadhi
ya wadau wakibadilishana mawazo huku wakipata vinywaji katika sherehe
ya Kuaga mwaka 2012 na kuupokea Mwaka 2013 ijulikanayo kam Vodacom Grown
and Sexy Party iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City usiku wa
Kuamkia Leo. Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
0 comments:
Post a Comment