Habari za uhakika
zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Msanii Juma Kilowoko
almaarufu kwa jina la Sajuki, amefar iki dunia.
Msanii Juma Kilowoko (sajuki)amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili ambako alikokuwa amelazwa.
Chanzo cha habari kinasema kuwa msanii huyo hadi umauti unamkuta alikuwa amegundulika kuwa
na tatizo la Kansa ya ngozi na upungufu wa damu.
Bwana ametwaa ,Amina.Enzi za uhai wake na mkewe Wastara
0 comments:
Post a Comment