Kwa habari ambazo zimetufikia ni kwamba baada ya Lulu kupata dhamana
yake ya kuachiwa,lakini mpaka sasa ni kwamba hajaachiwa kwasababu ya
taratibu za dhamana hazijakamilika.
ili atoke inabidi masharti na taratibu za mahakama zifuatwe na ndipo
kusainiwa na Msajili wa Mahakama Kuu.
Kwa leo asipoachiwa kutokana na taratibu hizo za mahakama basi kesho
hatapelekwa tena Mahakamani kwa kusikiliza Dhamana yake aliopewa na mahakama
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment