KITALE:NATARAJIA KUOA JUMAPILI HII SIO UTANI


Msanii wa Filamu hapa nchini hasa za uchekeshaji maarufu kama kitale baada ya kupata maswali mengi sana kwa mashabiki wake,sasa jumapili hii anatarajia rasmi kupata jiko au lugha fasaha anatarajia kuoa.
Kwa mujibu wa Kitale alisema japokuwa amepitia katika changamoto mbalimbali za ki maisha na amejifunza mengi na ndiyo sababu ya kuvuta jiko.

SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment