CHRIS BROWN msalabani kwa mara ya pili baada ya kupigana na msanii mwenzake habae kwajina anfahamika kama FRANK OCEAN siku ya leo na kufikishwa kizimbzni tena amepost picha hii kwenye mtandao wa instagram nakuomba sorry kwa mafanz wake kwa jambo alilo lifanya na huku akimuomba msamaa na msanii mwenzake frank ocean ila frank ameonekana akiendelea na mishe zake na kuto ongea chochote kile kuhusu ugomvi wao yeye na chris.huku chris Brown akisema maneno haya"Elevate yourself above the negative and if it doesn't work move on! I
respect myself enough as well as my fans to wanna be great!"aliongea mr brown
0 comments:
Post a Comment