Baada ya wanasheria wa msanii huyo ambao ni
Peter kibatala, Kennedy Fungamtama na
Fulgence Massawe, kutuma maombi ya dhamana ya kesi ya Lulu ili
isomwe
haraka kwasababu muombaji amekaa muda mrefu mahabusu, sasa habari
zilizotoka hivi punde kutoka mahakama kuu zinasema lulu ametakiwa
kukamilisha
masharti aliyopewa, ikiwa ni kuacha hati yake ya kusafiria mahakamani, kuripoti mahakamani kila siku ya kwanza ya mwezi, na
wafadhili kuweka bondi ya Shilingi mil 20.
Lulu anakabiliwa na kesi ya mauaji ya muigizaji Steve Kanumba April, 7, 2012 huko Sinza Vatican, jijini Dar es Salaam.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment