Msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie almaarufu kama PHD au Hemed,kama
unakumbuka kipindi cha nyuma kulikuwa na tetesi za hapa na pale kwamba
siku hizi ana tabia ya kuingia katika maduka ya n
guo hasa ya
Kinondoni na
kuchukua nguo bila kulipa,sasa leo amekanusha na kusema habari hizo si
za kweli ni story tu,kwani yeye anapoenda katika duka mara nyingi
anahakikisha lazima atoe kiasi cha pesa ndipo aweze kuondoka na nguo
hizo.Baada ya kusema hivyo alimalizia kwa kusema kwamba angependa kuona
mtu anaandika habari nzuri kuliko kuandika habari ambayo sio sahihi
@info kamili by Hemed
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment