BIBI WA MIAKA 70 AUZA BIKIRA YAKE


BIKIRA mwenye umri wa miaka 70 kutoka nchini Uingereza, amesema kuwa hivi sasa yu tayari kupoteza bikira yake, huku akitoa masharti kwa mwanaume atakayejitokeza. Pam Shaw ambaye kwa kipindi chote cha maisha yake alikuwa mwimbaji wa klabu za usiku, aliweza kuitunza bikira yake kwa miaka hiyo yote, hivi sasa ametingwa kutafuta mwanamume mwenye vigezo atakayeweza kuinunua. Bibi huyo alikuwa akiimba katika klabu iliyojulikana kama 'The Sexation Pam', hakuweza kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi na mtu yeyote. "Sasa muda umefika, nipo tayari kuwa na mahusiano lakini na mwanaume ambaye atakuwa na vigezo ninavyovihitaji mimi" alisema bibi Pam Shaw. "Msimamo wangu upo juu sana, kwani nahitaji mwanaume atakayekuwa mrefu, mweusi na mzuri aliyekuwa milionea
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment