Unaposikia jina Kaole Sanaa Group kama
ulikua mfatiliaji wa michezo ya kuigiza kwenye TV ni lazima
utawakumbuka kina Muhogo Mchungu, Kingwendu na wengine ambao
tuliwafahamu sana miaka ya nyuma ambapo sanaa ya uigizaji ilipoanza
kupata umaarufu nchini na baadaye tukashuhudia sanaa hiyo ikikimbiwa na
waigizaji wote kuingia kwenye biashara ya filamu.
Sasa good news ya leo ni kwamba Kaole wameamua kurudi kazini kama kikundi lakini time hii watatumia jina jingine ambalo ni KAONE huku Mwenyekiti wao ambaye ni Thea
‘Tumeamua
kujikusanya 12 na tumeamua kuanza na tamthilia yetu ya kwanza tuliyoipa
jina la kipusa ambayo itakuwa ikuhusisha watoto wadogo lakini zaidi
itakua ikihusisha mambo ya kisiasa‘– Thea.
0 comments:
Post a Comment