Cha kufanya ni wewe kujirekodi wakati unacheza huo wimbo we cheza staili yoyote unayohisi inafaa kwa wimbo wa Prokoto,halafu iweke kwenye akaunti yako ya Instagram kwa kuanza kwa PROTOKO na kumtag @victoriakimani.
Kama video yako itapata like zaidi na comment nyingi kuna kitita cha laki nane za Kitanzania kwa Mshind.
0 comments:
Post a Comment