Serikali ya Afrika Kusini imeimarisha ulinzi kwa kutumia vikosi vyake vya jeshi vyenye ulinzi wa hali ya juu ambapo sniper team ni miongoni mwa wanaohusika na ulinzi kwenye eneo lote la kiwanja anakoagiwa Mzee Mandela huku helicopter pamoja na ndege za kijeshi zikipita angani mara kwa mara.
Kwenye uwanja huu wa FNB, ndio ilikua sehemu ya mwisho ya Mzee Mandela kuonekana hadharani… kipindi cha kombe la dunia mwaka 2010.
0 comments:
Post a Comment