Kylie Jenner (mdogo wa Kim Kardashian) na Jaden Smith mambo si mabaya.
Binti sasa anapata huduma zote anazostahili mtoto wa kike kupata kutoka
kwa mpenzi wake wa kiume. Ili linathibitika pale ambapo kidume
kiliingia SONARA na kununua mkufu wa dhahabu na kumvalisha mpenzi wake.
Wapenzi hawa wote wanatoka kwenye familia za kitajiri na maarufu sana
duniani.
Home
MTOTO WA WILL SMITH KWENYE PENZI ZITO LA MDOGO WAKE KIM KARASHIAN
MTOTO WA WILL SMITH KWENYE PENZI ZITO LA MDOGO WAKE KIM KARASHIAN
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment