Afande feki akiwa Kituo cha Polisi Stakishari
Askari
Bandia wa Kikosi cha Usalama Barabarani aliyekamatwa leo mchana maeneo
ya Kinyelezi Mnara, Tabata jijini Dar es Salaam akiwa ndani ya sare
zake, akiwa chini ya ulinzi baada ya kukamatwa. Askari
huyo feki amefikishwa kwenye Kituo cha Polisi Stakishari ili taratibu
za kisheria ziweze kuchukua nafasi yake kwa udanganyifu huo aliokwisha
ufanya na kujipatia pesa kwa madereva kibao.
Afande huyo akiwa Kituo cha Polisi Stakishari.
Afande
huyo akiwa chini ya ulinzi wa Polisi mara baada ya kukamatwa mchana wa
jana akila vichwa maeneo ya Kinyelezi Mnara,Tabata jijini Dar es
Salaam.Askari huyu feki amefikishwa kwenye Kituo cha Polisi Stakishari
ili taratibu za kisheria ziweze kuchukuliwa juu yake.Picha na Issa
Michuzi
0 comments:
Post a Comment