Kwa Wapenzi Wa Games, Taarifa Rasmi Na Mpya Kuhusiana na Play Station 4 Hizi Hapa

Tarehe rasmi ambayo ma-gamers duniani kote wamekuwa wakiisubiria, ambapo Playstation 4 ndiyo itaingia rasmi sokoni imetangazwa pamoja na bei ya package nzima ya game ili kuwapa uhakika na nafasi ya kujipanga kujipatia set yao

Tarehe 15 Mwezi novemba ambayo itakuwa ni ijumaa, ndiyo kwa mara ya kwanza kabisa Playstation 4 inatoka kwa bei ya £349 ambayo ni zaidi yaa shilingi laki 880 za kitanzania, na tokea hapo itaanza kusambazwa sehemu tofauti duniani.

Usambazaji wa PS4 utaanzia huko Marekani na game hii itazifikia nchi nyingine kuanzia tarehe 29 mwezi Novemba... pia, Zaidi ya games kali 33 zitakuwa tayari hadi kufikia mwisho wa mwaka.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment