Wasanii wa Bongo fleva watembelea kaburi la marehem Albert
Mangwea,(Kihonda) asubuhi ya leo na kumuombea dua pale walipokuwa
wakipita kuelekea mkoani Kigoma kwa ajili ya kukitifua kwenye uzinduzi
wa tamasha la Fiesta ambalo mwaka huu linaanzia mkoani Kigoma.
Fiesta inatarajiwa kuzinduliwa siku ya Juma Mosi ndani ya viwanja vya
Lake Tanganyika kwa kiingilio cha shilingi 3000 tu, huku zaidi ya
wasanii 25 watapanda stage.
0 comments:
Post a Comment