DIDDY ASHANGASWA NA ALICHOKISEMA KENDRICK LAMAR

  Kendrick Lamar azidi kushambuliwa  na wasanii wakongwe pale aliposema yeye ndie king of new york,  Diddy alipomuwashia moto kupitia Instagram, nakuthubutu kumuingiza Jay Z kwenye mashambulizi hayo.
Lamar amejikuta katika mashambulizi kutoka kwa Rappers mbali mbali ndani ya masaa 34 baada ya kuvuja kwa ngoma ya Big Sean "Control" ambapo ndani yake kuna mistari yake iliyokuwa ikiwaponda ma-rapper hao na kudai kuwa yeye ni King wa New York.
Diddy ameamua kumshambulia kwa kutumia picha yake akiwa na Jay Z (Mabosi wengine wa NY) wakicheka huku akiambatanisha na maneno yanayomkejeli Kendrick Lamar
"Nakisha Kendrick akasema "mimi ni King wa NewYork"
Diddy sio wa kwanza kumrudishia mashambuliz Lamar, NBA Legend mwenye miaka 67 Phil Jackson aliachia maneno kupitia ukurasa wake wa twitter baada ya Lamar kumtaja kwenye mashairi hayo

SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment