BAADA YA NANDO KUTOLEWA BBA

Kama ulimiss kuangalia siku ya 63 ya mashindano ya BBA 2013, ambapo mshiriki wa TZ Nando alitolewa katika mashindano hayo na kutoruhusiwa kurudi ndani ya nyumba kupaki vitu vyake na kuamriwa kutokea katika mlango wa diary room, ngalia video hii hapo chini na uone jinsi washiriki wenzake walivyo-react baada ya kusikia habari hizo kutoka kwa Biggie.



Bimp ambae alikuwa ni swahiba mkubwa wa Nando alionekana kushtushwa sana na kuamua kuhamia chumbani huku mawazo tele yakiwa yamemsonga
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment