50 Cent ambae jana amekutwa hana hatia kwa mashtaka ya unyanyasaji wa nyumbani (domestic violence) baada ya kudaiwa kumshambulia mama wa mtoto wake nyumbani kwake (Juni), licha ya kuonekana hana hatia lakini bado hakimu alimuamuru 50 Cent kukaa mbali na mama huyo na kusalimisha bunduki zake zote.
Kutokana na protective order, 50 pia amepigwa marufuku kuwasiliana na model Dafne Joy - anaedaiwa kuwa ni mama wa mtoto wake wa pili, kwa njia yoyote
0 comments:
Post a Comment