WASANII WAZIDI KUKIMBIA BILI ZAO KATIKA MAHOTEL





Kupitia U heard ya jana, inasemekana msanii Mr Blue amrubuni mfanya usafi wa hoteli inayoitwa Chriss, iliyoko Tarime, baada ya kuzuiwa kwa mabegi yake kwa kushindwa kulipa deni la shilingi elfu 40,000, inasemekana Mr Blue aliamua kucheza dili na mfanya usafi ili aende akamtolee mabegi yake na kumpa mtonyo kidogo, ambae alifanya hivyo na Blue kufanikiwa kuondoka bila kulipa deni hilo, kitu kilichosababisha mfanya usafi huyo kufukuzwa kazi

SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment