Rais wa Marekani Barack Obama, mkewe Michelle Obama na watoto wao Sasha na Malia, hatimae wakanyaga ardhi ya Tanzania leo mchana na kulakiwa na mwenyeji wao Rais Kikwete pamoja na viongozi mbali mbali wa kitaifa wakiambatana na wananchi waliojitokeza kwa wingi.
Ziara ya Rais Obama pamoja na familia yake ni ya siku mbili hapa nchini baada ya kuzuru Afrika ya Kusini. Ziara hii ya kiongozi huyu wa Marekani itakuwa ni ya mwisho kwa ziara zake za Afrika kwa wakati huu.

0 comments:
Post a Comment