EBSS 2013 DODOMA
Epiq Bongo Star Search mwaka 2013 imefunguliwa rasmi mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki hii, ambapo wakali sita wa fani hiyo wamepatikana katika usaili wa siku mbili uliofanyika katika ukumbi wa Maisha na kwa sasa linahamia Zanzibar kuanzia Julai 5 na 6. #KAMUA— EBSS 2013 DODOMA
0 comments:
Post a Comment