Wema na Diamond enzi hizooo.
“Maisha yangu yote tangia nimeanza mapenzi na Nasibu…sikuwahi kuwa unfaithful (msaliti). I used to be very faithful to him (nilikuwa mwaminifu sana kwake) na tulikuwa tunapendana sana… nilikuwa nimesharidhika na maisha ambayo niko nayo,” alisema Wema.Mara kadhaa Diamond amewahi kukaririwa katika vyombo vya habari akimtuhumu mlimbwende huyo alikuwa akimsaliti pindi walipokuwa wapenzi.
Wema asema alikuwa anampenda sana daimondi hadi kufikia kumwambia mambo yake yote aliyokuwa anayafanya ila sio kulala nje asema ajawai kulala nje ya penzi lake daimondi anashukulu mungu kwa yote anayo ya sema daimondi kwenye vyombo vya habari
0 comments:
Post a Comment