Muda huu wa saa kumi na Mbili kwa saa za Afrika mashariki kwa saa za South Africa ni saa kumi na Moja jioni.....tukiwa bado tupo kwenye majonzi makubwa yakupotelewa na ndugu yetu Albert Mangweha.....Baada ya ratiba kupangika watanzania waishio nchini South Africa wamepata nafasi ya kuaga mwili wa Albert Mangweha kuelekea katika safari ya mwisho.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment