habari kwa ufupi ni kwamba wazazi wa kiume walikuwa hawataki kijana yao kumuoa huyo msichana ndio vijana hawa wawili wapendanao wakachukuwa jukumu la kujinyonga.
USHAURI WA BURE KWA WAZAZI
wawe wanafikiria mahamuzi yao kabla hawajahamua kufanya chochote
na ivyo ivyo pia kwa vijana wapendanao kama hawa wawili inawapasa mfikilie kwa kina sana kablaa amjahamua kufanya mahamuzi kama haya au yoyote yale kama kweli mnapendana na mnataka kuwa mume na mke.kujiua sio njia sahihi na nikosa kisheria hapa duniani na hata mbinguni
Home
WAPENZI WAWILI KUTOKA CONGO WAJINYONGA BAADA YA WAZAZI KUKATAA WASIOANE
WAPENZI WAWILI KUTOKA CONGO WAJINYONGA BAADA YA WAZAZI KUKATAA WASIOANE
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment