The Boss lady Huddah Monroe na Prezzp Mapenzi Tele, Diva Aamua Kuweka Picha ya Nusu Uchi Kupoteza Soo



Prezzo akiwa na huddah jana muda mchache baada ya lady boss kutua katika ardhi ya kenya.. ahahahahahah prezzo kajiachiajeee!!!


Baada ya huddah kuweka picha yake akiwa na prezzo na kuzua gumzo ndani ya mtandao huo wa twirraa, dada yetu akaamua kuweka picha yake ya.....(sijaielewa sijui AVI na hii ahahahha samahani lakini) ili kupotezea soo hilo..
ahahahahah Sasa bado hatuelewi kama ile LOVE AT THE FIRST SIGHT IMEISHIA WAPI maana presidente anaongea kwa vitendo tu!!

SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment