SHWARZENEGGER KURUDI NA TERMINATOR 5 MWAKANI

arnoldArnold schwarzenegger anarudi tena na terminator 5 baada ya kuombwa sana ashiliki kwenye movie hii akiwa nje ya marekani kwenye ziara zake za kiserikali alisema kwamba amefurahi sana alivyo pewa hio ofa ya kushiriki kwa mara nyengine kama star wa movie hiyo na kama mkongwe kama utakuwa na kumbukumbu nzuri Arnold hakushiliki kwenye terminator 4 kwa sababu ya majukumu yake ya kujenga taifa.kwa sasa anaumri wa miaka 65
movie hii kwa sasa amekabidhiwa mtu mmoja hatari sana na huwa hakosehi kwenye utungaji  JAMES CAMERON NA KUSAMBAZWA NA PARAMOUNT
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment