
Kutoka huko Texas Marekani, Johnny's Custom Jewelry ndio wadai wa msanii huyu, na madai yao ni dhidi ya Ross na May bach Music Group kwa ujumla, ambapo bishara hii ambayo mwisho wa siku haikukamilika ilifanyika mwezi August mwaka jana.
Taarifa za kiuchunguzi zinasema kuwa, kwa muda wote huo Johnny's Custom Jewelry wamekuwa wakimsikilizia Ross kulipa 'mulla' yao kistaarabu kutokana na hadhi yake, lakini kutokana na muelekeo wa mambo, kwao imeonekana dhahiri kuwa hakuna dalili yoyote ya malipo na muda ndio unazidi kuyoyoma.

0 comments:
Post a Comment