Mbunge
wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari muda huu amepigwa na kujeruhiwa
vibaya damu zinamtoka Puani, amepigwa na vijana wa kisomali, katika eneo
la Zaburi kata ya Makuyuni Jimbo la Monduli, Taarifa za awali zinasema
baada ya Nassari kuondoka na gari jingine, waliokuwa wanafuatana naye
walienda kujibanza sehemu.
Kiongozi
wa Chadema aliyetambulika kwa jina la Teddy Ndossi na dereva wa
Nassari. Dereva wa Nassari Guardian Palangyo amepigwa mdomoni amevunjwa
meno mawili, na kwa sasa wamempiga Katibu wa Chadema wa eneo hilo
anayeitwa Kilongola, wapo Kituo cha Polisi Makuyuni kutafuta msaada
zaidi.
Jana usiku katika kata ya minepa jimbo la ulanga magharibi vijana wa
ccm (green guard) waliwavamia viongozi wa CHADEMA hususani mlinzi wa
mgombea udiwani kwa nia ya kutaka kumuua mgombea udiwani wa kata hiyo
bw. Maiko, waliojeruhiwa ni m/kiti wa jimbo bw. Kibam Ally Mohammed
aliyevaa shati ya draft, katibu wa jimbo bw. Lucas Lihambalimo aliyevaa
shati jekundu na bw. Severin Matanila k/mwenezi tawi la Minepa aliyekaa
na mwenye bandeji na ni mlinzi wa mgombea
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment