HUYU NDIE WYNEM



Msanii anayekuja kwa kasi katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini Tanzania, ambae pia amaeshafanya colabo na wasanii wakali katika gemu akiwemo Linex, Suma Mnazareth, Nick Maujanja na wengineo muite Wynem jina halisi anaitwa Mahamud Issa. Gemu la muziki wa kizazi kipya alianza mwaka 2000 wakati akiwa anasoma kidato cha nne huko Mkoani Morogoro, wakati akiwa shule hakutaka kuchanganya muziki na masomo mpaka pale alipomaliza ndipo akaingia rasmi kwenye muziki. Alipomaliza chuo 2007 akaanza kazi huku akifanya muziki lakini muda mwingi alikuwa kwenye kazi ikawa ngumu sana kufanya muziki. Mwaka 2009 alishirikishwa na Nick Maujanja kwenye ngoma inaitwa “SMS” ngoma ambayo ilifanya fresh sana Channel O ikiwa kwenye chart kwa wiki tatu mfulululizo katika Viewers Edition. Pia alishashirikishwa na Suma Mnazareth kwenye ngoma ya “Tofauti na jana” baada ya hapo akashirikishwa kwenye ngoma ya Linex inayoitwa “Maumivu” . Baadae akafanya ngoma kwa ajili ya jamii inayoitwa “Japo Kidogo” . Akarudi Chuo akawa amepumzika kufanya muziki. Sasa amerudi na ngoma inaitwa “Mwanambuzi” iliyofanywa ndani ya studo za GZ Records. Mshikaji anapostigraduate diploma ya kodi aliyoisoma katika chuo cha kodi mikocheni Dar es salaam… Sikiliza ujio wake mpya katika ngoma ya “Mwanambuzi”
Msanii anaepanda vizuri kwenye levo nyingine katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini Tanzania, ambae pia amaeshafanya colabo na wasanii wakali katika gemu akiwemo Linex, Suma Mnazareth, Nick Maujanja na wengineo muite Wynem jina halisi anaitwa Mahamud Issa. Gemu la muziki wa kizazi kipya alianza mwaka 2000 wakati akiwa anasoma kidato cha nne huko Mkoani Morogoro, wakati akiwa shule hakutaka kuchanganya muziki na masomo mpaka pale alipomaliza ndipo akaingia rasmi kwenye muziki. Alipomaliza chuo 2007 akaanza kazi huku akifanya muziki lakini muda mwingi alikuwa kwenye kazi ikawa ngumu sana kufanya muziki. Mwaka 2009 alishirikishwa na Nick Maujanja kwenye ngoma inaitwa “SMS” ngoma ambayo ilifanya fresh sana Channel O ikiwa kwenye chart kwa wiki tatu mfulululizo katika Viewers Edition. Pia alishashirikishwa na Suma Mnazareth kwenye ngoma ya “Tofauti na jana” baada ya hapo akashirikishwa kwenye ngoma ya Linex inayoitwa “Maumivu” . Baadae akafanya ngoma kwa ajili ya jamii inayoitwa “Japo Kidogo” . Akarudi Chuo akawa amepumzika kufanya muziki. Sasa amerudi na ngoma inaitwa “Mwanambuzi” iliyofanywa ndani ya studo za GZ Records. Mshikaji anapostigraduate diploma ya kodi aliyoisoma katika chuo cha kodi mikocheni Dar es salaam
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment