HII NDO ALBUM YA JAY ZForbes' Celeb 100: The New Yorkers<br/ >Jay-Z, No. 7

Shabiki wa Jay Z ni mtu anaye fatilia kila analo fanya Jay kwenye mziki na maisha yake, well jamaa katoa orodha ya nyimbo zitakazo patikana kwenye album yake mpya Magna Carta Holy Grail. Kwa mujibu wa rapradar nakupa nafasi ya kuziona hapa sammisago.com,
 Mpaka sasa producers wanaojulikana kuhusishwa kwenye hii cd ni Timbaland, Swizz Beatz, Rick Rubin, na Pharrell. Wasanii walioshirikishwa bado kutajwa. Album ipo mtaani July 4 2013. Orodha hii imepatikana kwenye vipeperushi vinavyo sambazwa kama promotion.

1. Picasso Baby
2. Heaven
3. Versus
4. Tom Ford
5. Beach Is Better
6. FuckWithMeYouKnowIGotIt
7. Oceans
8. F.U.T.W.
9. Part II (On The Run)
10. BBC
11. La Familia
12. Jay-Z Blue
13. Nickles & Dime
s
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment