Mwanamitindo wa kimataifa kutoka Tanzania Flaviana Matata amesema kazi ya kuonyesha mitindo siyo rahisi kama wengi wanavyodhani na kusisitiza si kila msichana au mvulana anaweza kufanya kazi hiyo.
Flaviana alisema hayo muda mfupi baada ya kuingia mkataba na wa kutangaza nguo za kampuni inayoongoza nchini afrika ya kusini na Mashariki ya kati ya truworths "Ni faraja kubwa kupata mkataba hii na hii inatokana na juhudi zangu na za mkurungezi wa Compass Communications, Maria sarungi kwa kuniongoza vyema mpaka sasa nimeweza kushiriki katika matukio mengi ya kimataifa nje ya tanzania
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment